2021-07-30 08:41:01

Guidelines (Miongozo)

  1. Please Click here to download the ONLINE OPRAS User Manual (Posted on 09/11/2018/)

Announcements (Matangazo)

  1. Ujazwaji wa Tathmini ya Mwaka 2020/2021 (Annual Appraisal Process) Umeanza na Utakamilika tarehe 30 Juni, 2021.

  2. Matumizi ya ( ' au -) YASIWEPO kwenye Ujazwaji wa Fomu hasa kwenye uandishi wa baadhi ya maneno kama vile Master's , Student's , COVID-19 n.k mpaka suala hili litakapopatiwa ufumbuzi.

  3. Ifikapo tarehe 1 Julai, 2021 Ujazwaji wa Malengo ya Mwaka 2021/2022 Utaanza. Fomu ZIPAKULIWE kwenye Mfumo.